Allah yuko Wazi

Allah yuko Wazi

Allah yuko Wazi

Hakika Allah yuko Wazi: {Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Haki Iliyo Wazi.} (Al-nnur: 25)

Ewe uliye Wazi jambo lako lililotukuka, tuwekee Wazi njia ya haki, Na utukinge Na kuchanganyikiWa Na njia za batili ewe Mola Mlezi.

Allah ndiye MwenyekubaiNisha haki Na haki zote, ndipo zidhihirike shaka zote.

Allah yuko Wazi katika jambo la upweke Wake, Na kWamba yeye haNa mshirika yeyote katu.

“ANayetosha”…ANaWatoshelezea Waja Wake kWa yote WaNayohitaji Na kumlilia yeye, aNaWatoshelezea kutosheleza maalumu Waja Wake Walio mWamiNi Na kumtegemea Na kuomba kWake haja zake za kiduNia Na za kiakhera.

“Aliye Wazi” …Hafichiki Kwa Waja Wake Kwa alama alizoziweka za kiakili Na za kisheria Na za kihisia Na zakimaaNa ziNazo-onesha uwepo Wake Allah, ziNazoonesha ufalme Wake pia.

“Aliye Wazi”… Aliye WabaiNishia Waja Wake njia ya saWa ya kweli, Kwa kuteremsha Mitume (a.s) pamoja Na vitabu vilivyo Wazi kabisa. {Bila shaka imekujieNi kutoka Kwa Mwenyezi Mungu nuru Na Kitabu kiNacho baiNisha.} (Al-maidah: 15)

Allah aliye baiNisha njia ya furaha Kwa Waja Wake Na akaimbataNisha Na kumtii yeye Na kumpwekesha.

Hakika yeye Ni Allah Aliye Wazi…Tags: