KUKANUSHA ALLAH NA HATARI ZAKE

KUKANUSHA ALLAH NA HATARI ZAKE

KUKANUSHA ALLAH NA HATARI ZAKE

Kukanusha Kuwepo Kwa Allah: Ni Kukataa Kuwepo Muumba Mwenye Nguvu Na Utukufu,Iwe Kwa Fikra Mbaya Ama Mtizamo Potovu Kwa Malengo Tasa Inadi Isiokuwa Na Mwelekeo,Nao Ni Ugonjwa Wa Kiakili Na Tatizo Katika Fikra Na Giza Katika Moyo Inayo Mfanya Mwenye Kumkataa Allah Kuwa Na Mtazamo Dhaifu Na Giza Katika Moyo Wake Hawezi Kuona Wala Kuelewa Ila Vyenye Kuonekana Tu,Anakuwa Ni Mwenye Kufuata Madhehebu Ya Watu Wa Kuzingatia Vitu,Ndipo Hapo Upotea Na Kuangamia Na Anaitakidi Kuwa Mwanadamu Ni Vitu Tunavyo Viona , Ndivyo Ni Kila Kitu.

“Kuamini Mwenyezi Mungu Ambaye Hakuna Anapaswa Kuabudiwa Kwahaki ILA Yeye Ndio Aamali Ya Hali Ya Juu, Na Bora Zaidi Na Sehemu Yake Ni Tukufu Zaidi Kuliko Kila Kitu.”

Amesema Imamu Ashaafiyu

Yote Haya Yanakuwa Ni Hatari Kubwa Kwa Mwanadamu Kwa Kupambana Kwake Na Vitu Na Kuegemea Sehemu Hiyo Na Kuzingatia Akili Yake Sana Ambayo Ikotupu Na Furaha Za Kiroho , Kwahiyo Mwenye Kukanusha Allah Kwa Kuwa Hamuamini Allah Wala Haamini Kupatikana Kwake, Aweza Kufanya Kitu Chochote Akitakacho Wakati Wowote Autakao Bila Kuogopa Adhabu Zake, Allah Wala Kumcha Allah; Jambo Ambalo Lapelekea Kuaribika Kwa Maumbile Ya Kiuanadamu Na Kuangamia, Licha Kuwa Ni Ukafiri Kumkufuru Allah Mwenye Nguvu Na Utukufu, Na Kupindukia Kuchukuwa Haki Ya Allah Kumpatia Mwengine, Ndio Mana Vimekithiri Visanga Vya Kujiua Katika Historia Ya Watu Walio Mkanusha Allah Wakiwemo Mafeilosofi Wakuu Na Baadhi Ya Wasomi Na Wasanii Mashuhuri, Na Vimejaa Visa Hivi Chungu Nzima Kwenye Historia, Na Katika Makusanyo Ya Utafiti Mengi Yaliyofanywa Yathibitisha Hilo . Kwa Mfano Risechi Zilizo Fanywa Na Baraza La Afya La Kimataifa (WHO) Alioifanya D. Juice Manuel, Na Risech Ya Alexanda Falaishman, Zinazo Bainisha Uhusiano Ulioko Baina Ya Dini Na Kujiua Na Kutilia Mkazo Kuwa Wengi Wanaojiua Ni Wale Walio Mkanusha Allah Na Maelezo Zaidi Ni Haya Yafuatayo:Tags: