Allah Hakimu

Allah Hakimu

Allah Hakimu

Hakika Allah Ni Hakimu: {Na Yeye ndiye Hakimu Mwenye kujua.} (Sabai: 26)

“Hakimu”… ANatufungulia katika rehema zake: {Rehema ambayo Mwenyezi Mungu aNaWafungulia Watu hapaNa WA kuizuia. Na aNayoizuia hapaNa WA kuipeleka isipokuWa Yeye. } (Al-faatih: 2)

“Hakimu”… Allah atufungulie sisi Na nyinyi katika Baraka zake, Na atupe katika fadhila zake Na zaWadi zake, Na atuongezee katika msamaha Wake. Yeye Ni Allah Hakimu Mwenye kufungua nyoyo zilizofungika, Kwa funguo za uongofu Na imaNi.

“Hakimu”…Ambaye aNahukumu baiNa Waja Wake Kwa hukumu zake za kisheria, Na hukumu zake za kadari, Na hukumu zake za malipo, aliyefungua macho ya wenye kusubiri, Na akafungua nyoyo zao Ili Wamtambue, Na mapenzi yake Na kutubia kWake, Na akaWafungulia Waja Wake rehema Na riziki tofauti tofauti.

“Hakimu”…ANafungua milango ya rehema Na kuWachotea, Na kuWafuNika Na neema zake Na kuzizidisha, aNaWafungulia nuru za elimu Na hekima kwenye akili zao Na kuzipamba, Na aNafungulia nyoyo imaNi ili zipate kuongoka.

“Hakimu”… Ambae aNaondoa matatizo Kwa Waja Wake, Na kuWafariji katika kila hami, Na kuWaondolea kila shida, Na kuWaondolea kila madhara.

“Hakimu”… Atakayehukumu baiNa ya Waja Wake akhera Kwa Waadilifu

Hakika Allah Ni Hakimu…Tags: