Allah Mtukufu

Allah Mtukufu

Allah Mtukufu

Hakika yeye Ni Allah Mtukufu: Ametukuka katika utukufu Wake, Na ametakasika kwenye sifa zake. {Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapaNa mungu isipo kuWa Yeye Tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama,} (Al-hashri: 23)

Ametukuka Na kutakasika Mola WA Malaika Na Roho Mtakatifu (Jibril) Ametukuka Mfalme Mtukufu.

“Hakika yeye Ni Allah Mtukufu” … Mwenye kutukuzWa Na kutakasWa Na kila aibu Na pungufu, Na kutokaNa Na sifa yoyote ambayo hailingaNi Naye Mtukufu.

“Hakika yeye Ni Mtukufu” … ANayesifika Na sifa kamilifu, nzuri Na tukufu, Mwenye kutakasWa kutokaNa Na pungufu Na aibu, HapaNa kitu Kama mfano Wake, Wala haNa aNaye faNaNa Naye hata mmoja, hakuNa ukamilifu juu ya ukamilifu Wake, Wala hakuNa aNayemfikia Kwa majiNa yake Na sifa zake.

“Mtakatifu, Mwenye salama” Mwenye kutukuzWa Na kutakasWa kutokaNa Na sifa zote za upungufu, yeye ametakasika Na aibu zote Na ametakasika hakuNa aNaye mkaribia Wala kufaNaNa Naye katika kitu chochote katika ukamilifu Wake,

“Hakika yeye Ni Mtukufu” … Ambaye ametukuzWa Na nyoyo zote, Na kufungaNa Naye kila matamaNio yake, ametukuzWa Na ndimi, akatukuzWa katika kila Wakati.

“Hakika yeye Ni Mtukufu” … Mwenye Baraka Na zaWadi, Na fadhila Na sifa nzuri, Baraka yatoka kWake Na kurudi kWake, Naye Mwenyewe Ni Baraka aNaye bariki Waja Wake kWa atakacho katika kuWapa Na kuWaongezea.

“Hakika yeye Ni Allah Mtukufu”…Tags: