Allah Mwenye uwezo

Allah Mwenye uwezo

Allah Mwenye uwezo

Hakika Allah Ni Mwenye uwezo: {Na hakika Mwenyezi Mungu Ni Mwenye uweza Na ujuzi juu ya kila kitu.} (An-Nisaa: 85)

“Mwenye uweza Na ujuzi”… Ambaye amefikisha chakula Kwa viumbe wote, Na kaWaumbia vitu ambavyo Ni sababu ya maisha Yao, akaWapa Na akavifanya ndivyo viNavyo muondoshea mwenye kiu kiu chake Na mwenye njaa njaa yake, Na kuyafanya maisha yake kuWa ya furaha.

“Mwenye uwezo”…Aliyefikishia kila kiumbe chakula, Na akaWafikishia viumbe Wake riziki, Na kuigaWanya atakavyo kulingaNa Na hekima yake Na sifa zake.

“Mwenye uwezo Na ujuzi”… ANayelisha nyoyo kWa aiNa nyingi za maarifa Na elimu; ndio roho zipate kuishi Na Nafsi kupata ukunjufu , Ewe Allah uNayetekeleza mambo ya Waja Wako, Na kuyapanga maisha yao duNiaNi Na akhera, tWakuomba utuhifadhi, utusamehe Na utuponye. {Na hakika Mwenyezi Mungu Ni Mwenye uweza Na ujuzi juu ya kila kitu.} (An-Nisaa: 85)

Hakika yeye Ni Allah Mwenye uwezo Na ujuzi…Tags: