Allah Aliye karibu

Allah Aliye karibu

Allah Aliye karibu

Yeye Ni Allah aliye karibu…

Ewe uliye karibu Na aNayekuomba, ewe uliye karibu Na aNaye kutaraji.

Ewe uliye karibu Na aNaye kuomba. Eweulie karibu Nasi kuliko mshipa WA shingo.

TWakuomba utupe utulivu Wako Na utuliWaze Na maneno yako, {Na Waja Wangu Wangu Watakapokuuliza hakika yangu, Mimi Niko karibu Nao.} (Albaqarah: 186)

“Aliye karibu”… Yuko karibu Nasi Kwa elimu yake Na vile aNavyo tuoNa japokuWa yuko mbinguNi.

“Aliye karibu”… ukaribu WA kila mtu Kwa elimu yake Na ujuzi Wake Na kulindiza kWake Na kuoNa kWake Na kuzunguka kWake.

“Aliye karibu”… KWa mwenye kumuomba, aNampa Na aNamuonea huruma, Na aNamwenua Na kumuondolea madhara Na kumuitikia aliye Na matatizo.

“Aliye karibu”… KWa mwenye kutubia kWake Na kushikaNa Naye, aNasamehe dhambi Na kukubali toba.

“Aliye karibu”… ANayakubali aNayojikaribisha kWake mja Wake Nayo, Na aNamkaribia mja Wake Kwa kadri mja aNavyo jikaribisha kWake.

“Aliye karibu”… ANayezijua hali za Waja Wake, kWasababu yeye yuko karibu Nao Kwa elimu yake Na kuzunguka kWake, Wala hakuNa chochote kiNachofichika kWake.

“Aliye karibu” …Karibu Kwa upole Wake Na kuhifadhi kWake Na kunusuru kWake Na kuunga mkono kWake, lakiNi ukaribu huu Ni maalmu Kwa vipenzi vyake.

“Aliye karibu”… WaNarudi kWake Waja Wake baada ya kifo chao. {Nasi tuNakaribiaNa Naye zaidi kuliko nyinyi} (Al-Waqiah: 85)

“Aliye karibu”… Nafsi ziNaliWazika Kwa kuWa karibu Naye, Na ziNatingishika Kwa kumtaja Na kumkumbuka.

Hakika yeye Ni Allah Aliye karibu …Tags: