Allah Mwenye kupenda waja wake

Allah Mwenye kupenda waja wake

Allah Mwenye kupenda Waja Wake

Hakika Allah Ni Mwenye kupenda Waja Wake {Na yeye Ni Mwingi WA msamaha Mpenda Waja Wake} (Al-baqarah: 14)

Allah Mwenye kupenda Waja Wake, aNaWapenda Na kuWakaribisha Na kuWaridhia Nao WaNamridhia: {ANaWapenda Nao WaNampenda} (Almaidah: 54), Allah aNaWaruzuku mapenzi ya Watu kWao, Watu WaNaWapenda Na kuWakubali WalioNayo.

&"Mpenda Waja Wake&" … Aliye karibu Mwenye kupenda Waja Wake, Mwenye kuWapendea kheri Waja Wake

“Mpenda Waja Wake”, aNayeWapenda Mitume yake Na MaNabii Wake, NaWafuasi Wao,Na kuWapenda ,kWahio Nikipenzi kikubWa kWao kuliko chochote.nyoyo zao zimejaa mapenzi yake, Na ndimi zao zimezoea kumsifu yeye, Na nyoyo zao zimejivuta kWake kWa kumpenda Na kumtakasia yeye ibada Na kurudi kWake kWa aiNa zote za kurudi.

&"Mpenda Waja Wake&"… Waja Wake WaNampenda Na Wako Na shauku ya kukutaNa Naye, katika hadeeth: ‘Mwenye kutamaNi kukutaNa Na Allah Naye Allah hutamaNi kukutaNa Naye.’ (ImepokeleWa Na Albukhaar.)

“Mpenda Waja Wake”… ANakuamrisha kutakasa moyo Wako, Na kuusafisha kutokamaNa Na chuki Na bughdhWa, Na kuoga uchafu WA chuki kwenye maji ya mapenzi NakupendaNa, Na kuzima moto WA hasad Kwa barafu (theluji) ya mapenzi Na kupendaNa.

Hakika yeye Ni Mpenda Waja Wake…Tags: