Allah aliye na wasaa

Allah aliye na wasaa

Allah aliye Na Wasaa

Hakika yeye Ni Allah aliye Na Wasaa {Bila shaka Mwenyezi Mungu Ni Mwenye Wasaa (mkubWa Sana) Na Mwenye kujua (kukubWa vile vile)} (Albaqarah: 115)

“Mwenye Wasaa”… Mtoaji atosheleza yote aombWayo.

“Mwenye Wasaa”… Aliye kamilika katika sifa zake, Mtukufu katika majiNa yake, hazihesabiki sifa zake njema, aNaWasaa WA utukufu Na Waufalme Na WautaWala Na Wafadhila Na Wakutoa Na Wawema.

“Mwenye Wasaa.”… ANaWatosheleza viumbe Wake wote Kwa kuWapatia Na kuWatosheleza Na kuWaelimisha Na kuWajua Na kuWahifadhi Na kupanga mambo Yao.

“Mwenye Wasaa”… Ambaye yameenea masikio yako sauti zote Wala hazimchanganyi lughaa.

“Mwenye Wasaa”… AmeWafanyia wepesi Waja Wake Na akaifanya diNi kuWa nyepesi Na akaWawezesha Allah Mwenye nguvu Na utukufu.

Hakika yeye Ni Allah Mwenye Wasaa…Tags: