Allah Mwenye kupokea maombi ya waja wake

Allah Mwenye kupokea maombi ya waja wake

Allah Mwenye kupokea maombi ya Waja Wake

Yeye Ni Allah Mwenye kupokea: {Hakika Mola Wangu Ni karibu Na Waja Wake aNapokea maombi Yao.} (HUD: 61)

“Mwenye kupokea” …ANapokea maombi ya Waja Wake Wakimuomba Na kutaWasili kWake Kwa Yale alio Waamrisha, yeye ndie aliye Waamrisha kumuomba, kisha akaWaahidi kujibu maombi Yao.

“Mwenye kupokea”… AmeshikaNa Naye mfungWa gerezaNi, mfa-maji bahariNi, Na fakiri katika ufakiri Wake, Na yatima katika uyatima Wake, Na mgonjWa katika ugonjWa Wake, Na tasa katika utasa Wake, akampa Na kupokea Na kumsaidia Na akaponya.

“Mwenye kupokea” …ANamjibu aliyedhikika {Au Yule aNayemjibu aliyedhikika amwombapo Na kuondoa dhiki yake.} (An-Namli: 62)

“Mwenye kupokea” aNamjibu aNaye muomba hata haweje, hata hawe Wapi, Na hata Wawe hali gaNi.

Na aNakuWa zaidi ya kujibu aNapoombWa kWa kutaWasali kWake kWa majiNa yake Na sifa zake, kWaNi Wangapi Walimuomba WakiWa gerezaNi Naye akaWatoa,Na Wangapi WaliotaWasali WakiWa bahariNi Na akaWaokoa, Na Wangapi Waliomba riziki WakiWa mafakiri Naye akaWafanya matajiri Na kuWapa amaNi, Na mayatima Wangapi Walimuomba Naye akaWalea Na kuWachunga mpaka WakaWa WakubWa, Na Ni WagonjWa Wangapi Walimtaraji Naye akaWaponya Na kuWafanya Wawe salama, Na Wangapi WalikuWa tasa Wakanyenyekea kWake Naye akaWaruzuku Watoto Na akaWakirimu.

Hakika yeye Ni Allah Mwenye kupokea …Tags: