Allah Mwenye msamaha Mwingi wa kusamehe anaye samehe sana.

Allah Mwenye  msamaha Mwingi wa kusamehe anaye samehe sana.

Allah Mwenye msamaha Mwingi WA kusamehe aNaye samehe Sana

Hakika Allah Ni Mwenye msamaha Mwingi WA kusamehe: {Hakika Mwenyezi Mungu Ni Msamehevu Mwenye maghfira.} (Al-hajj: 60)

“Allah Ni Msamehevu Mwingi Wa maghfira Mwenye kusamehe”… Ambaye bado ajulikaNa Kwa msamaha Wake, Nabado aNasifika Na sifa ya kughufiria Na kusamehe Waja Wake, kila mtu aNahitaji msamaha Wake Na maghfira yake, Kama aNavyohitajia rehema zake Na ukarimu Wake.

Ewe Uliyeahidi msamaha Na maghfira Kwa mwenye kufanya sababu zote. Amesema Allah Mtukufu: {Na hakika Mimi Ni Mwingi WA Kusamehe Kwa aNaye tubia, Na akaamiNi, Na akatenda mema, teNa akaongoka} (Taha: 82)

TWakuomba ewe msamehevu! Uturuzuku toba ya kikweli kweli, tWajivua kabisa kutoka kwenye dhambi Na kuyaacha kabisa, Na tWajuta Kwa Yale tuliyoyatenda ya makosa Na madhambi, Na tWaazimia kutoyarudia teNa Na kushikamaNa Na tWaa yako tWaomba utusamehe ewe Msamehevu.

Ewe Allah hakika wewe Ni Msamehevu uNapenda kusamehe, basi tWaomba utusamehe, ewe Allah ulitWambia wewe Ni msamehevu. {Waambie Waja Wangu ya kWamba Mimi ndiye Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.} (Alhijr: 49), Tuhurumie Na tusamehe Ewe Mwenye maghfira

Hakika Allah Ni Mwenye msamaha Mwingi WA kusamehe…Tags: