Ee! Allah Mwenye nguvu Mwenye kushinda

Ee! Allah Mwenye nguvu Mwenye kushinda

Ee! Allah Mwenye nguvu Mwenye kushinda

Hakika yeye Ni Allah Mwenye nguvu Mwenye kushinda: Mwenye nguvu juu ya WaNadamu Na majiNi {Naye ndiye Mwenye nguvu juu ya Waja Wake, Na ndiye Mwenye hikima Na Mwenye khabari zote} (AlaNa’m: 18)

“Mwenye nguvu juu ya Waja Wake,”… Ameshinda Waja Wake Kwa kuWa juu kWake Na elimu yake Na kuWazunguka Na kuWapangia mambo Yao Na Kwa kuWatambua kWasababu ya kuWa juu kWake, hakufanyiki kitu chochote katika duNia hii isipokuWa Kwa idhiNi yake Na elimu yake.

“Mwenye nguvu juu ya Waja Wake,”…Mwenye kudhalilisha kila kitu ambacho kimetukuzWa Na viumbe, Na vikadhalilika kWake viumbe vyote kWasababu ya nguvu zake Na uwezo Wake uliokamilika.

“Mwenye nguvu juu ya Waja Wake,” …Ameshinda wenye iNadi Na viburi kWa hoja zake kubWa kubWa, Na kuWawekea Wazi hoja za kuWa yeye pekee ndie aNapasWa kuabudiWa kWasababu yeye ndie BWaNa Wa viumbe wote Na yeye pekee ndiye mwenye majiNa mazuri mazuri Na sifa za juu.

“Mwenye nguvu juu ya Waja Wake,”… Ameshinda madhalimu Na Waliopindukia mipaka Kwa kiburi ataWafufua siku ya kiyama WakiWa Wanyonge. {Nao Watahudhuria mbele ya Mwenyezi Mungu Mmoja, Mwenye nguvu.} (Ibrahim: 48)

“Mwenye nguvu juu ya Waja Wake,”… ANayotaka yeye Allah ndiyo yaWa hakuNa awezaye kuyazuiya katika Waja Wake, hata Kama atakuWa mkubWa kiWango gaNi, kuumba kWake madhubuti, kuNaWashinda Walio Na nguvu, hata Kama Watafika Wapi Na nguvu zao. Ukianza kusifu uzuri Wake maneno huisha kuleta mfano Wake hata Kama utakuWa mfasaha kupindukia.

Hakika yeye Ni Allah Mwenye nguvu Mwenye kudhalilisha Na kushinda…Tags: