Allah Mwenye nguvu

Allah Mwenye nguvu

Allah Mwenye nguvu

Hakika yeye Ni Allah Mwenye nguvu Na utukufu: {Na Mwenyezi Mungu Ni Mtukufu Mwenye nguvu Mwenye hikima.} (Al-anfal 67)

&"Allah Mwenye nguvu Mwenye kushinda&" …Ambaye hazimdhuru nguvu za mwenye nguvu yeyote, Wala hashindwi Na uwezo Wa mwenye uwezo yeyote, ametakasika Allah Aliyejuu ANayeyajua mambo ya dhahiri.

“Mwenye nguvu” …Nguvu zake zimekamilika Na vikadhalilika viumbe vyote kWake, kila mwenye nguvu akaWa dhaifu mbele yake, kila asiye kuWa yeye Ni dhaifu, Na kila kiumbe kWake Ni dhaifu.

“Mwenye nguvu”… Mwenye nguvu zote: nguvu za kushinda, Na nguvu za kukataa, Na akakataa kuWa viumbe WaNamfikia, kWasababu ukhalifa wote Na utukufu Ni Wake.

“Mwenye nguvu” …ANampa nguvu amtakae, Na aNamuondoshea nguvu amtakae, Na humuangusha umtakaye. Kheri yote iko mikonoNi mWake. Amesema Allah aliyetukuka: {Hakika utukufu wote Ni WA Mwenyezi Mungu} (Yunus: 65)

HakuNa utukufu kWasababu ya Nasaba Wala ukoo Wala Mali Wala sababu yoyote isipokuWa kutoka kWake (Allah)

“Mwenye nguvu”… Wala hawi mtu yeyote mtukufu isipokuWa atakayemfanya mtukufu, Na Wala mtu hawi Na nguvu isipokuWa Kwa fadhila zake, basi mtu Kama aNashikamaNa basi ashikamane Na Allah, Na mwenye kutaka utukufu basi aelekeze moyo Wake Kwa Allah. {Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye utukufu - Yeye, Na Mtume Wake, Na WaumiNi} (Al-muNafiqun: 8)

Hakika yeye Ni Allah Mwenye nguvu…Tags: