Allah Mwenye shukrani

Allah Mwenye shukrani

Allah Mwenye shukraNi

Hakika Allah Ni Mwingi WA shukraNi Mwenye shukraNi:

Hakika Allah Ni Mwingi WA shukraNi {bila ya shaka Mwenyezi Mungu Ni Mwenye shukraNi Na Mjuzi.} (Al-baqarah: 158), {Hakika Mola wetu Mlezi bila ya shaka Ni Mwenye kusamehe, Mwenye shukraNi} (Faatri: 34). Yeye Ni Allah Mtukufu Mwenye kushukuru matendo machache, Na aNasamehe makosa, Na aNaWaongezea Watu wema vitendo vyao bila ya hesabu.

“Allah Mwingi Wa shukraNi”… ANampa mwenye kumshukuru, Na aNamfadhilisha mwenye kumuomba, Na aNamtaja mwenye kumtaja, mwenye kumshukuru atapata ziada, Na Kafiri atakuWa Na hasara. {Mkishukuru NitakuzidishieNi; Na mkikufuru, basi adhabu yangu Ni kali} (Ibrahim: 7)

Hakika Allah Ni Mwingi WA shukraNi Mwenye shukraNi…Tags: