Allah Mwenye uhai wa milele na Mwendeshaji wa mambo yote

Allah Mwenye uhai wa milele na Mwendeshaji wa mambo  yote

Allah Mwenye uhai WA milele Na Mwendeshaji WA mambo yote

Hakika yeye Ni Allah Mwenye uhai WA milele Na Mwendeshaji WA mambo yote. {Mwenyezi Mungu, hakuNa aabudiWaye Kwa haki isipokuWa yeye - Mwenye uhai Wa milele, Na Mwendeshaji Wa mambo yote.} (Aali Imran: 2)

Hakika yeye Ni Allah Mwenye uhai WA milele. {Mwenyezi Mungu, hakuNa aabudiWaye Kwa haki isipokuWa yeye-Mwenye uhai Wa milele, Na Mwendeshaji Wa mambo yote.} (Aali Imran: 2)

“Mwenye uhai Wa milele”…Uhai uliokamilika, haitajii yeyote, Na WasiokuWa yeye wote WaNamuhitaji yeye, Na vyote vitaangamia Na kwisha isipokuWa dhati yake Allah,

&"Mwendeshaji WA mambo yote&"… Mwenye kujitosheleza mwenyewe, haitajii yeyote

“Mwenye uhai Na Mwendeshaji mambo yote” Uhai uliokamilika aNayejisimamia mwenyewe, Mwenye kusimamia viumbe Wa mbinguNi Na Wa ardhiNi, Mwenye kupangia riziki zao Na hali zao tafauti tafauti. “Mwenye uhai Wa milele” Aliye kusanya sifa zote za dhati, Mwendeshaji mambo, Aliye kusanya sifa zake zote.

&"Mwendeshaji WA mambo yote&"…Msimamizi WA kila Nafsi Na iyatendayo, Mwenye kuhifadhi matendo Yao Na hali zao Na mazungumzo yao, Na mema yao, Na maovu yao, atakayeWalipa kWa matendo yao haya aakhera.

&"Mwendeshaji WA mambo yote&"…Mwenye kukusanya Na kuyajua yote Waliotenda Waja Wake.

“Mwenye kupanga mambo yote”…Aliyebeba dhamaNa ya maisha ya kila kiumbe chake, Na riziki zao, Na mwenendo Wao, Na hali zao, Na kupangilia mambo Yao.

“Mwenye uhai Wa milele Na Mwendeshaji mambo yote” Mwenye ku bakia bila kuondoka ametakasika Na kutukuka.

Hakika yeye ndie Allah Mwenye uhai WA milele Na Mwendeshaji mambo yote…Tags: