Mwenyezi Mungu Mwenye kutoa na Mwenye kukubali maombi ya waja wake

Mwenyezi Mungu Mwenye kutoa na Mwenye kukubali maombi ya waja wake

Mwenyezi Mungu Mwenye kutoa Na Mwenye kukubali maombi ya Waja Wake

Hakika yeye Ni Allah Mwenye kutoa Na Mwenye kukubali maombi ya Waja Wake…

Ewe Mwenye kutoaa neema Ee Mwenye kutoa matumaiNi Ewe Mwenye kutoa wema.

Naomba uNipe mapenzi uNipe matumaiNi uNipe raha Na huruma!

Tuonee huruma Na utufadhili, kWasabab wewe ndiwe mwenye fadhila Na huruma Na mkarimu. {Na utupe rehema itokayo kWako; hakika wewe ndiwe Mpaji mkuu.} (Aali imran: 8), &" Hakika Allah Ni Mkarimu aNapenda ukarimu Na tabia za hali ya juu, Na hapendi tabia duNi.&" (ImepokeWa Na Atirmidhiyu)

“MPAJI MKUU”… ANampa amtakaye Na humnyima amtakaye.

“MWENYE KUTOA”… Kutoa kWake hakuNa mipaka, Na fadhila zake hakuNa Wakuzizuia, akitaka kitu husema: {KuWa Na kiNa kuWa} (Albaqarah: 117)

“MPAJI MKUU”… ANatoa riziki iNayoonekaNa Na riziki isioonekaNa, Na hutoa Kwa fadhila zake Na ukarimu Wake.

MiongoNi mWazo Ni pale Allah anpomfungulia mja Wake maWazo mazuri, Na maWazo yaliyo Na manufaa, Na elimu Na uongofu Na tawfiq Na kukubaliWa maombi yake, yote haya Na mengineyo Ni riziki isioonekaNa, aliyo Wapa Watu wengi.

“MPAJI MKUU”… Ametoa akazuia, akadhalilisha Na kuenua, ameunga Na akakata, kWake ziko kheri zote hakika yeye Ni Mweza WA kila kitu.

Hakika yeye Ni Allah Mpaji Mkuu ANayetoa bila mipaka …Tags: