Allah Mwenye uweza Muweza

Allah Mwenye uweza Muweza

Allah Mwenye uweza Muweza

Hakika Allah Ni Mwenye uweza:

{Na Mwenyezi Mungu Ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.} (Al-baqarah: 284), {Katika makalio ya haki Kwa Mfalme Mwenye uweza} (Al-qamar: 55), {Sema: Yeye ndiye Muweza} (Al-aNa’am: 65)

“Mwenye uwezo” ... Mwenye nguvu, Madhubuti. Mwenye uweza WA kufanya ayatakayo.

“Muweza” ... Uweza WA kamili, ameuhisha Na kufisha akaumba viumbe akavipanga madhubuti.

“Mwenye uwezo Wajuu”…Aliye Na uweza uliokamilika, kWa uwezo Wake aliumba viumbe, Na kWa uweza kWake alivipanga, Na kWa uwezo Wake alivieka saWa Na madhubuti, kWa uwezo Wake aNauhisha Na kufisha, Na kufufuWa Waja kWa ajili ya malipo, amlipe mwema kWa wema Wake Na mkosa kWa makosa yake, ambae akitaka kitu aNakiambia kiwe Na kiNakuWa, Na kWa uwezo Wake Allah Mtukufu aNageuza nyoyo, Na kuziendesha vile atakavyo.

“Mwenye uweza Wa juu” ... AtafufuWa Watu Na aWalipe Kwa uweza Wake, aNazipindua nyoyo vile atakavyo.

“Muweza”... Uweza uliokamilika haupatwi Na upungufu hata kidogo.

“Muweza”... Mwenye kupanga Waja Wake Kwa Yale ayatakayo vile atakavyo, Na huu Ni katika ukamilifu WA uwezo Wake.

Hakika Allah Ni Muweza Mwenye uweza …Tags: