Allah ni Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake,

Allah ni Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake,

Allah Ni Mtoaji Wa amaNi, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake

Hakika Allah Ni Mtoaji WA amaNi, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, {Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapaNa mungu isipo kuWa Yeye Tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji Wa amaNi, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, } (Al-ha’shri :23)

“Mtoaji Wa amaNi”…Aliye jisifu Mwenyewe kWa sifa za ukamilifu, Na kWa ukamilifu Wa utukufu Na uzuri, Yeye Ndiye aliyetuma Mitume, Na kuteremsha vitabu vyake, kWa hoja Na aya zilizo Wazi,Na akaWasadikisha Mitume Wake kWa miujiza Na hoja ziNazo onesha ukweli Waliyokuja Nayo.

“Mtoaji WA amaNi”… ANaye eneza amaNi baiNa ya Waja Wake, Na utulivu baiNa ya viumbe, Na utulivu katika Wahyi Wake. {Na aNaWalinda Na khofu.} (Qureish: 4)

“Mtoaji WA amaNi”…MuamiNifu Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake ANayeshuhudia yaNayo fanyika kWao.

“Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake”…MwenyekuoNa mambo yaliyofichika, Na yaliyozikWa vifuaNi, Ambaye amekizunguka kila kitu kukijua.

“Mtoaji WA amaNi”... Hapunguzi thaWabu za Waja Wake, Wala haWaongezei adhabu, Naye Ni Mbora Wa fadhila Na Mbora Wakufadhilisha, Na Mbora Wa wema Na kuneemesha.

“Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake”… AmetaWala Waja Wake, Na akaWa juu yao kWa kuWaamrisha Na akaWamiliki, Na akaWachunga Na kuoNa katika vitendo Wavifanyavyo Na hali zao, kWasababu yeye ameWazunguka, kila jambo kWake Ni jepesi, Na kila kitu chamuitaji yeye. {HapaNa kitu Kama mfano Wake. Naye Ni Mwenye kusikia Mwenye kuoNa} (As-shuraa: 11)

Hakika Allah Ni Mtoaji WA amaNi, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake…Tags: