Allahu ni Mzuri

Allahu ni Mzuri

Allahu Ni Mzuri

Hakika yeye Allah Ni Mzuri Mtukufu:

‘Ewe Allah tWakuomba ladha ya kukutizama dhati yako tukufu, Na tu Na shauku kweli ya kukutaNa Nawe’

“Mzuri”… Yuko Na majiNa Yale yalio mazuri zaidi, Na sifa zilizokamilika.

“Mzuri”… Uzuri WA majiNa uliokamilika Na uzuri WA sifa zilizo kamilika Na uzuri WA ukamilifu WA kikwelikweli, {Na yametimia maneno ya Mola Mlezi Wako Kwa kweli Na uadilifu.} (Al-an’am: 115), Ambaye ametengeneza vizuri umbo la kila kitu

“Mzuri”… Uzuri Wa vilimwengu Ni ushahidi tosha ya uzuri Wake Allah Na utukufu Wake; uzuri Wake Allah hauwezi kufikiWa Na akili, Wala hauwezi kujulikaNa uhakika Wake kWa fahamu za Watu , Amesema Mtume (s.a.w) &" Siwezi kukusifu vilivyo Ewe Allah kama ulivyo jisifu mwenyewe. &" (ImepokeWa Na Muslim)

“Mzuri”… AliyetoWa uzuri Kwa viumbe Na uzuri Wao, Na akatoa uzuri WA kumdhaNia yeye kWamba Ni Mzuri Asie Na kifaNi.

Ewe Mzuri! UNayependa vizuri, tWakuomba uzifanye nzuri nyoyo zetu Kwa imaNi, Na uzipe tabia zetu uzuri Na nyoyo zetu uzuri, Na dhahiri yetu uzuri.

Hakika yeye Ni Allah aliye Mzuri…Tags: