Umuhimu wa kuyatambua majina ya Allah na sifa zake

Umuhimu wa kuyatambua majina ya Allah na sifa zake

Umuhimu WA kuyatambua majiNa ya Allah Na sifa zake

UNadhihirika umuhimu WA kuyatambua majiNa ya Allah Na sifa zake Na utukufu Wake Na cheo chake katika mambo yafuatayo:

KWanza: Elimu bora zaidi Niile ilio Na uhusiano Na Allah Na majiNa yake mazuri Na sifa zake za juu, Na kadri ya ufahamu WA mWaNadamu.

MajiNa ya Allah Na sifa zake iNakuWa hadhi yake Na fungu lake la kuWa mja Wa Mola Wake Na kupata utulivu Wa moyo Wake Na mapenzi Na utukufu, ambayo itakuWa Ni sababu ya kutafuta kufaulu kWa radhi za Mola Wake, Na pepo yake Na kuneemeka kWa kumuangalia Allah Mwenye cheo Na ukarimu Wa nyumba ya akhera, Na lengo hili halitimii ispokuWa kWa tawfik ya Allah Mwenye nguvu Na utukufu.

Pili: Kuyatambua majiNa ya Allah Na sifa zake ndio msingi mkuu WA elimu zote, Na Ni msingi WA imaNi. Na Waajib WA mWanzo, Watu Watakapo mfahamu Mola Wao WatamWabudu ibada ya kikwelikweli, amesema Allah Mtukufu: {Jua ya kWamba hakuNa aabudiWaye Kwa haki ILA mwenyezi mungu} (Muhammad: 19)

Tatu: Katika kumjua Allah Mtukufu Kwa majiNa yake Na sifa zake kuNa kuongezeka Kwa imaNi Na yakiNi Na kuhakikisha tawheed, Na kuonja utamu Wa ibada, Na hii ndio roho ya imaNi Na msingi Wake Na lengo lake kuu.

Ubora WA elimu uNalingaNa Na ubora WA chenye kusomWa, Na hakuNa elimu bora zaidi ya kumtambua Allah Na kuyatambua majiNa yake Na sifa zake.

Na njia fupi ya kuyafikia haya Ni kutafakari Na kuzingatia sifa zake Allah Na majiNa yake yalioko kwenye Quran. KWa sababu Allah Mtukufu Wa majiNa akitaka kumkirimu mja Wake kWa kumjua yeye huukusanya moyo Wake kWa kumpenda yeye, ataukunjua moyo Wake kukubali sifa zake za juu, Nakuzichukua kutoka kWa Wahyi,

KukipatikaNa chochote miongoNi mWa majiNa Na sifa zake Allah aNazikubali Na kuziridhia Na kusalimu amri Na kunyenyekea Na kufuata Na moyo Wake ukaWa Na nuru.

Na kikakunjuka kifua chake Na kikajaa furaha Na mapenzi, Na kikazidi furaha yake, Na kubWa ya hilo huongezeka kukiNai kWa moyo kWa kukiNaishWa Na Allah,, Na kuWa Na nguvu za kumtambua , Na kutumai Nafsi yake Na kutulia moyo Wake, ukazunguka kwenye viWanja vya maarifa, Na yakaWa juu macho yenyekuoNa ndaNi ya mabustaNi yake, kWayakiNi yake kuWa ubora Wa elimu uNalingaNa Na ubora Wa chenye kusomWa, Na hakuNa chakusomWa kilicho bora zaidi ya ambaye sifa zake Ni hizi: mwenye majiNa mazuri mazuri Na sifa za juu Na ubora Wake uNaolinga Na kumuhitajia. Na roho hakuNa kitu ziNahitajia zaidi kuliko kumjua Muumba Wake Na kumpenda Na kumtaja Na kumkumbuka, Nakufurahia kWa ajili yake, Na kutaka Wasila kWake Na kutaka kufikishWa karibu kWake hakuNa njia nyengine ya hayo ila kWa kumjua yeye Allah Na kujua sifa zake Na majiNa yake .Na kila mja akiyafahamu haya zaidi uNakuWa ufahamu Wake Wa Allah Ni zaidi, Na peke yake ndiye aNaye muomba Na kWake pekee ndiko aNakuWa karibu, Na kila akiWa Na hazijui sifa zake Allah aNakuWa mjinga hamtambui Mola Wake Na huWa aNamchukia Na huWa mbali Naye Allah aNamweka mja Wake sehemu mja atakapo mweka Mola Wake.

Nne : ANaye mjua Allah kWa uhakika aNajielekeza kWa alizozijua miongoNi mWa sifa Na majiNa yake Allah , ili kujua aNachokifanya Allah Na aNacho hukumu katika sharia, kWasababu yeye Allah hafanyi chochote ila kitu kiNacho ambataNa Na majiNa yake Na sifa zake, Na majiNa yake Allah hayatoki ndaNi ya uadilifu Na ubora Na hekima. Na haukumu ila kulingaNa Na sifa zake Na hikima yake Na uadilifu Wake Na ubora Wake, habari zake zote Ni haki Na ukweli, Na maamrisho yake Na makatazo yake yote Ni uadilifu mtupu Na hikma Na rehema , Na elimu hii Ni tukufu saNa Na yenye kujulikaNa zaidi ya maelezo.

Kumtambua Allah Na majiNa yake Na sifa zake ndio wema WA moyo Na ukamilifu WA imaNi.

Tano : Ulazima Wa kiNa baiNa ya sifa za Allah Mtukufu Na viNavyo ambataNa Navyo miongoNi mWa ibada za dhahiri Na zakisiri, kWasababu kila sifa iNajinsi yake maalumu yakuitekelezea ibada, kWasababu kila sifa iNa matakWa yake Na ulazima Wake, Na hii iko kwenye kila aiNa ya ibada, za moyo Na za viungo au kujua mWadamu kuWa Allah pekee ndiye Mwenye kudhuru Na kunufaisha ndie Mwenye kutoa Na kunyima Na kuumba Na kuruzuku Na kuleta uhai Na kufisha, haya yote yaNazalisha kWa moyo Wa muumin ibada ya kutegemea kWake Allah kWa siri Na dhahiri.

Na vilazimiaNa vya kumtegemea Allah Na matunda yake yako Wazi, elimu yake Allah Na kusikia kWake Na kuoNa kWake hakufichiki kWake chochote hata kama kidogo kama dhara, kWamba Allah aNajua yaliyo jificha kama vile pia aNaoNa udanganyifu Wa macho Na yaliyo fichWa Na vifua, kujua kWake huku kuNamfanya ahifadhi ulimi Wake Na viungo vyake Na fikra zake pia Na yote yasiyo mridhisha Allah, Na kuvifanya hivi viungo viNa uhusiano mzuri Na kila kiNacho mridhisha Allah Na kuvipenda,ndio imaNi hii izae haya la ndaNi Na haya la kukuepusha Na mambo ya haramu Na vitu vibaya, Na kutambua kWake kuWa Allah Ni mpWasi Na yupo Na ukarimu Na wema Na huruma yake iNamkuza kuWa mwenye kutarajia kWa Allah, Na kutambua utukufu Wake Allah Na ukubWa Wake Na nguvu zake iNamfanya kuWa mwenye kunyenyekea Na kudhalilika Na kupenda, hali hizi zisizo onekaNa hizi Ni aiNa za ibada zilizo dhahiri Na ndivyo vitu vyaulazima ,ibada zote misingi yake Ni mikubWa Ni matakWa ya tawheed

Sita: Kumuabudu Allah kupitia majiNa yake Na sifa zake, kuNa athari nzuri katika kusalimika nyoyo, Na kusalimika tabia Na mwenendo, Kama vile kuzivunja Na kuzikanusha Nikufungua mlango WA magonjWa ya nyoyo.

Saba : Kuyatambua majiNa ya Allah Na sifa zake kuNa ruWaza kWa mja, atakapo anguka katika masaaibu Na mambo mabaya Na matatizo, mja akitambua kuWa Mola Wake aNajua kila kitu, mwenye hikima Muadilifu hamdhulumu yoyote, huridhia Na kusubiri, Na hujua kuWa matatizo yaliyo mzonga Na mitihaNi iliyomsibu , iNa mas-lahi kWakeNa manufaa mengi kWake lakiNi elimu yake ndio haiwezi kuyatambua , lakiNi yako katika muktadha Wa elimu yake Allah Mtukufu Na hekima yake , hapo ndipo utumaiNi mja Na kutulia Na kumuachia kazi yote Allah Mola Wake.

Nane: Kuyafahamu maaNa ya majiNa ya Allah Mtukufu Na sifa zake Ni moja Wapo ya njia za kufikia mapenzi yake, Na kumtukuza Na kumtaraji Na kumuogopa Na kumtegemea yeye Na kumlindizia yeye Allah aliye takasika, Na matunda mengine ya kumtambua Allah Na majiNa yake Na sifa zake.

Tisa : Katika kuyazingatia Na kuyatafakari maaNa ya majiNa yake Allah Mtukufu Na sifa zake Na usaidizi mkubWa Wa kuweza kukizingatia Na kukitafakari kitabu chake Allah (Quran) kama alivyo tuamrisha Allah Mtukufu kuzingatia Na kutafakari quraNi katika kauli yake aliposema: { Na hiki Kitabu, tumekuteremshia wewe, kimebarikiWa, ili Wazizingatie Aya zake, Na WaWaidhike wenye akili. } (SAD: 29)

Kama vile QuraNi iNa taja kWa wingi majiNa ya Allah Na sifa zake katika minyambuliko tafauti tafauti, kWahiyo kitafakari haya majiNa Ni mlango mkubWa saNa uNaopeleka kuitafakari QuraNi yenyewe, utakapo zingatia Na kutafakari quraNi itakuonyesha bayaNa kuwepo Mfalme aliye Na uwezo aliye juu ya mbingu kwenye Arshi yake, aNayapangilia mambo ya Waja Wake, aNaamrisha Na kukataza, aNatuma mitume Na kuteremsha vitabu, aNaridhia Na kuchukia , aNalipa mazuri Na aNaadhibu,aNatoWa Na kuzuiya,aNampa ufalme Na kumuondoa mtu kwenye ufalme, aNanyenyua Na kudhalilisha aNaoNa Na kusikia yuko juu ya mbingu ya saba, aNajua vilivyojificha Na viNavyo onekaNa, Mfanyaji alitakalo, aNayesifika Na kila ukamilifu, aliyetakasika Na kila aibu, halitingishiki dhara Na zaidi yake isipokuWa kWa idhiNi yake,Wala halitingishiki jaNi Na kuanguka ila kWa ilimu yake Naye Ni mjuzi mwenye hekima.

Atakaye mpata Allah amekosa NiNi? Na aliye mkosa Allah amepata NiNi?

Kumi : KmajiNa ya Allah Na sifa zake yapanda adabu kWa moyo Wa muislamu kWa Mola Wake Na kumuonea haya, kuWa Na adabu Na Allah Ni kusimamisha diNi yake Na kuWa Na pambika Na tabia nzuri dhahiri Na siri, Na mtu hawi Na adabu kamili isipokuWa kWa mambo matatu:

Kumjua Allah Kwa majiNa yake Na sifa zake, Na kuitambua diNi yake Na sharia zake, Na kujua lipi aNaloliridhia Na lipi aNalolichukia, Na Nafsi ya mtu ikotayari yenye kukubali teNa laiNi imeandaliWa kukubali haki Na kutenda haki Na kupenda haki.

Kumi Na moja: Kumtambua Allah Kwa majiNa yake Na sifa zake, kuNamuonesha mja pungufu zake Na aibu zake Na kupotea kWake; Ili ajitahidi kuirekebisha Nafsi yake. Nguzo za kukanusha Ni nne :kiburi , hasadi, chuki, matamaNio, Na asli ya zote hizi Ni mtu kutomjua Allah Mola Wake Na kutojitambua yeye mwenyewe, kWasababu kama angelimjua Mola Wake kWa sifa zake kamilifu Na utukufu, Na akaitambua Nafsi yake kWa upungufu Na maafa yake asingekuWa Na kiburi Wala asingekasirika ,Na asingemuhusudu yeyote kWa neema alizopeWa Na

Kumtambua Allah Mtukufu Ni sababu ya kutengea nyoyo Na mili.

Kumi Na mbili: Ujinga Wa mWaNadamu kutojua majiNa ya Allah Na sifa zake, Na kut o zifahamu, Na bila kumuabudu Allah kWazo, lipi atalijua huyu ambaye ameshindWa kumjua Mola Wake Na mitume yake, Na atadiriki hakika gaNi kama hakika hii itampita, Ni elimu gaNi au a’amali gaNi atuchuma ikiWa amepitWa Na elimu ya kumtambua Allah Na kufanya a’amali za kumridhisha Mola Wake Na kujua njia ya kufikia mapenzi ya Mola Wake Na kujua aNachotakikaNa kukifanya akipata radhi za Allah. KWasababu maisha ya mWaNadamu Ni uhai Wa roho Na moyo, Na hauNa uhai moyo ila kWakumjua Muumba Wake Na kumpenda Na kumuabudu yeye pekee, Na kurudi kWake kWa kumuomba maghfira, Na kutumaiNi Na kupata utulivu kWa utajo Wake, Na kuliWazika kWa ukaribu Wake . Kama mtu atakosa uhai huu basi atakuWa amekosa kheri yote, hata Kama atalipa duNia yote Kwa kufidia haiwezikaNi.

Kumi Na tatu: Kuyatambua majiNa ya Allah Na sifa zake Ni sababu za kudhihirika tawheed Na kukamilika Kwa imaNi, Na kudhihirika a’amali za moyo, miongoNi mWazo Ni, ikhlas Na mapenzi ya Allah Na khofu ya Allah Na kutarajia Na kumtegemea yeye Allah peke yake. KWa kweli kujishughulisha Watu Na mlango huu kWa mazingatio Ni kuchache mno, japokuWa Ni mlango muhimu saNa, kWasababu kWa mlango huu ndio nyoyo hutengea Na kutakasika kutokaNa Na WasiWasi Na maafa yake, mwenye kuzingatia sharia katika chimbukoNi mWake hufahamu uhusiano Wa vitendo vya moyo Na vya mwili, Na kWamba vitendo vya mwili haviwezi kuleta manufaa bila ushirikiano Na vitendo vya moyo, Na a’amali za moyo Ni zalazima zaidi kuliko za mwili,

KWasababu huwezi kumtafautisha muumiNi Na mNafiki isipokuWa Kwa vitendo vyake vya moyo ndivyo viNamjulisha kuWa Ni muumin, Kama vile huwezi kumtafautisha mNafiki Kwa muumin ILA kWa vitendo vyake vya moyo ambavyo ndivyo viNaWapambanua,

Na kWamba mtu hawezi kuingia katika uislamu ila kWa a’amaNi za moyo kabla ya a’amali za mwili, Na uchaMungu Wa moyo Ni mkubWa saNa kuliko uchamungu Wa kimwili, Na a’amali za moyo Ni nyingi Na zenye kudumu kuliko ibada za mwili zenye kukatika, kama vile ambavyo ndio njia ya kutekeleza a’amali za kimwili ndio maaNa zikaWa Ni lazima kila Wakati .