Athari za kuamini majina na sifa zake Allah kwa mja

Athari za kuamini majina na sifa zake Allah kwa mja

Athari za kuamiNi majiNa Na sifa zake Allah Kwa mja

1-kuabudu Kwa majiNa Na sifa zake Allah, kWaNi mja akiyajua haya majiNa huyaamiNi Kama atakavyo Allah Mtukufu, Na kuyafahamu maaNa yake ambayo yaNamuongezea imaNi yake Kwa Allah Mola Wake, ndio Allah aNatukuzWa Na kuadhimiWa kWa moyo uliomfahamu kWahiyo, mwenye kumfahamu Allah zaidi humuogopa zaidi’

2-kuongezeka Kwa ImaNi: Kuyatambua majiNa ya Allah mazuri Na sifa zake za juu, kuNamfanya mja ahisi ukubWa Wa Allah Mtukufu, jambo ambalo liNamuongezea muumin imaNi juu ya imaNi, Na unyenyekevu juu ya unyenyekevu Kwa Allah Mtukufu. {Na Wale WaNaokubali kuongoka aNaWazidishia uongofu Na aNaWapa (jaza) ya ucha mungu Wao.} (Muhammad: 17)

3-kumkumbuka Allah Na kumtaja : Mwenye kumjua Allah, humpenda, Na mwenyekumpenda mola Wake basi hukithirisha kumkumbuka Na kumtaja, kWasababu ameumiliki moyo Wake kWa kumpenda, mpaka akaWa hapendi ila aNachokipenda yeye, Wala hachukii ila aNachochukia yeye.

4-kumpenda Allah Mwenye nguvu Na utukufu: amesema Allah Mtukufu: {Na katika Watu Wapo WaNao chukua Waungu Wasio kuWa Mwenyezi Mungu. WaNaWapenda Kama kumpenda Mwenyezi Mungu. LakiNi Walio amiNi WaNampenda Mwenyezi Mungu zaidi Sana.} (AL baqarah: 165)

Atakapojua mja ukubWa Wa sifa za Mola Wake Na utukufu Wake Nafsi yake, basi Nafsi yake huzama Na kuelekea kWaMola Wake, Na hufungamaNa Naye Allah aliye takasika, Nafsi yake ikaWa Na raha Na Mola Wake kWasababu ya ukamilifu Wa utukufu Wake Na uzuri Wake, ndio akaWa mWaNadamu aNapata raha kWa maneno ya Mola Wake, Na aNajiliWaza kWa kumuomba Na kumtarajia yeye Na kumkhofu, kWasababu mapenzi ya Allah Mtukufu yaNaelekeza kWa haya, utampata mja aNampenda Allah Na aNampenda aNaye mpenda Allah.

Haifai Kwa mtu yeyote aseme kuhusu dhati ya Allah Kwa neno lolote Wala kumsifu Na sifa yoyote isipokuWa aliyo jisifu mwenyewe, Na mtu asiseme Kwa maoNi yake matupu, ametakasika Allah Mola Wa Walimwengu wote.

Imamu AbuuHaNifa

5-kumuonea haya Allah Mtukufu : Kila uNavyo mtambua Allah uNamuogopa Na kila ukimuogopa laongezeka haya lako kWake, ukahifadhi mja Na juu yake Na ukayakumbuka mauti Na kulia kWa ajili yake, Na ukahifadhi viungo ili kumridhisha Allah Mwenye nguvu.

6- Kunyenyekea kWa Nafsi Na kujieka chiNi: Utakapojua utukufu Wake Allah basi jua udhalili Wako, Na utakapo jua nguvu zake Allah, basi jua yakuWa wewe Ni mdhaifu, akijua ufalame Wake Allah basi jua wewe Ni fakiri, Na ukijua ukamilifu Wake Allah basi jua upungufu Wako, Na ukijua ukamilifu Wa sifa zake Na uzuri Wa majiNa yake basi jua ukamilifu Wa ufakiri Wako Na haja yako Na udogo Wako kWaNi wewe sichochote ila mja tu Wa Allah.Tags: