Allah ni Haki

Allah ni Haki

Allah Ni Haki

Hakika Allah Ni Haki {Hayo Ni Kwa sababu hakika Mwenyezi Mungu ndiye Haki,} (Al-hajj: 6)

“Allah Ni Haki”… Ni haki katika dhati yake Na sifa zake, yeye amekamilika kWa sifa zake, kuwepo kWake Ni kulazimiaNa Na dhati yake, hakuNa kitu kiNaweza kuwepo isipokuWa atake yeye, yeye ndiye alikuwepo Na ataendelea kuwepo Na kusifika Na utukufu Wake Na uzuri Wake Na ukaamilifu Wake, Na ataendelea kujulikaNa Na kila zuri.

“Allah Ni Haki”… Kauli yake Ni haki, vitendo vyake Ni haki, kukutaNa Naye Ni haki, Mitume Wake Ni haki, vitabu vyake Ni haki, diNi yake Ni haki, kumWabudu yeye pekee bila kumshirikisha Na chochote Ni haki, Na kila kitu kiNaegemezWa kWake Ni haki. {Hayo Ni Kwa kuWa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli, Na kWamba Wale WaNao Waomba badala yake, Ni baat&" ili, Na hakika Mwenyezi Mungu ndiye Aliye Juu Na ndiye MkubWa.} (Al-hajj: 62)

Hakika yeye Ni Allah WA Haki…Tags: