Allah Anaye fanya analo litaka

Allah Anaye fanya analo litaka

Allah ANaye fanya aNalo litaka

Hakika yeye Ni Allah Mwenye utukufu WA hali ya juu, Na ANayefanya alitakalo. {Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapaNa mungu isipo kuWa Yeye Tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji Wa amaNi, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu, ANaye fanya aNalo litaka, MkubWa, Ametakasika Mwenyezi Mungu Na hayo WaNayo mshirikisha Nayo.} (Alhashri: 23)

“ANaye fanya aNalolitaka.”… Mwenye kumlazimasha mjeuri Na Mwenye kumsaidia mateka, Mwenye kumtosheleza fakiri, Mwenye kuungaNisha pungufu za wenye upungufu, Mwenye kusamehe madhambi ya wenye kukosea, Na Mwenye kuWaacha uhuru WaliotakiWa kuadhibiWa, Mwenye kuziunga nyoyo za WapendaNao Na Wanyenyekevu.

‘’ANaye fanya aNalolitaka’’… Ambaye umekamilika UkubWa Wake, Na kutukuka neema zake Kwa kila kitu.

“ANaye fanya aNalolitaka”… Ambaye amekubaliWa Na kila kitu, Na kunyenyekea kWake kila kitu, Wala hakuNa kilicho mshughulisha Kwa kutenda chochote.

“ANayefanya aNalolitaka” Kwa maaNa yeye yuko juu ya Waliojuu wote, Mwenye nguvu, yaNi Mwenye huruma, Mwenye kuunga nyoyo zilizo vunjika, Mwenye kumsaidia mnyonge asiyejiweza, kila aliye mtegemea Na kurudi kWake.

“ANayefanya aNalolitaka”… Mwenye uwezo WA kufanya lolote, Mwenye ufalme Na utaWala Na ukubWa Na heshima zote.

“ANaye fanya aNalolitaka”… Wamedhalilika majabari wote,Na kunyenyekea kWake WakubWa wote, Na kudhalilika kWake Wafalme wote Na WakubWa wote,Na kunyenyekea mbele yake Waliofanya makosa (Waovu).

Hakika yeye Ni Allah “ANayefanya aNalolitaka&" …Tags: