Allah Anayetajirisha

Allah  Anayetajirisha

Allah ANayetajirisha

Hakika Allah Ni Tajiri ANayetajirisha…

“Tajiri”… Tajiri kWa dhati yake, aliye Na utajiri uliokamilika,sifa zake Na ukamilifu Wake hauingii upungufu kWa njia yoyote, Na hawi ila tajiri kWasababu utajiri Ni sifa yake iNayomlazimu, kama ambavyo daima Ni Muumba Na Muweza Mwema, haitajii yeyote Yule,

Yeye Ni Tajiri ambaye haziNa za mbingu Na ardhi ziko mikonoNi mWake, Na haziNa za duNia Na akhera ziko kWake. ANayetajirisha Waja Wake wote utajiri.

“Tajiri”… Ametosheka haitajii chochote kutoka kWa Waja Wake, haitaji kWao chakula Wala kinyWaji, hajaWaumba ili apate wingi Wa viumbe, au kupanga nguvu kutokaNa Na udhaifu aliokuWa Nao, au kutaka liWaza kWasababu ya upweke Wake, bali Wao ndio WaNamuhitaji yeye chakula chao Na kinyWaji chao Na mambo yao yote, amesema Allah Mtukufu: { Nami sikuWaumba majiNi Na Watu ila WaNiabudu Mimi. Na sitaki kWao riziki, Wala sitaki WaNilishe. } (Adhariyat: 56-57)

“Mwenye kutajirisha”… ANaWatajirisha Watu kutokaNa Na ufakiri Wao Na haja zao, haipungui hazNa yake Kwa kutoa, Waja Wake haWahitajii mwengine asiye kuWa yeye, ametukuka Allah. kama ilivyokuja kwenye hadiith qudsi: &" Kama WamWanzo wenu Na Wamwisho wenu, WaNadamu Na majiNi WatakuWa katika uWanja mmoja Na WaNiombe mimi Na Nimpe kila mtu alichokiomba haipunguzi chochote katika haziNa yangu ila kama kuingiza sindano kwenye bahari Na kuitoa. &" (ImepokeWa Na Muslim)

“Mwenye kutajirisha”… ANaWatajirisha baadhi ya Waja Wake kWa uongofu Na kutengea nyoyo zao, kWa kumjua yeye Na kumtukuza Na kumtakasa Na kumpenda, aNaWatajirisha kWa mambo ambayo Ni bora Na kamilifu kuliko maslahi ya kiduNia.

Ewe ambaye haziNa yako haipungui Kwa wingi Wakutoa... TWaomba ututajirishe Kwa ya halali Na utuepushe Nay a haramu; kWasababu Wewe Ni Tajiri Mwenye kutajirisha.

Hakika Allah Ni Tajiri Mwenye kutajirisha…Tags: