Allah Mkubwa Mwenye utukufu

Allah Mkubwa Mwenye utukufu

Allah MkubWa Mwenye utukufu

Hakika Allah Ni MkubWa Mwenye utukufu Na utakatifu:

Hakika yeye Ni Allah Mwenye kusifika Na sifa za utukufu Na ukubWa, ambaye ndiye MkubWa kuliko chochote, Na Mtukufu kuliko chochote, Na Mtakatifu kuliko chochote,

ANatukuzWa Na kuheshimiWa katika nyoyo za vipenzi vyake Na WandaNi Wake, zimejaa nyoyo zao utukufu Wake Na utakatifu Wake, Na kumnyenyekea yeye Na kudhalilisha Nafsi zao mbele ya ukubWa Wa Allah.

Umetakasika Allah uliye MkubWa ukubWa ulioje huu!! {Basi litakase jiNa la Mola Wako Mlezi aliye MkubWa.} (Al-Waqiah: 96)

Hatuwezi kukusifu Na kukutukuza Kwa utukufu Wako Ewe MkubWa Ewe Mtukufu Ewe Mkarimu

MkubWa katika dhati yake utukufu Ni Wake, ukubWa katika majiNa yake Na sifa zake, {HapaNa kitu Kama mfano Wake} (Ash’shuraa: 11)

Yeye ndiye Mwenye utukufu Na ukubWa, mwenye kugombaNa Naye katika haya, Allah atamvunja; Kama alivyo sema Allah katika hadiith qudsi: &" UkubWa Ni nguo yangu ya juu Na utukufu Ni nguo yangu ya chiNi Mwenye kuichukua moja katika hizi nguo Nitamuingiza motoNi &" (ImepokeWa Na Muslim)

Hakika Allah Mwenye utukufu Mwenye UkubWa Na Utakatifu…Tags: