Home /MOLA WANGU NI ALLAH /MTAMBUE ALLAH KWA MAJINA YAKE NA SIFA ZAKE /Kuishi pamoja na Allah na majina yake na sifa zake /Allah Mwenye shukrani

Allah Mwenye shukrani


Mwenye kusifika Na kila sifa njema

Hakika Allah Ni Mwenye sifa njema...

Mwenye sifa njema katika dhati yake, Mwenye sifa njema Katika vitendo vyake, Mwenye sifa njema katika maneno yake, Mwenye sifa njema katika tabia zake, hakuNa Mwenye sifa njema katika ulimwengu huu isipokuWa Allah Mtukufu; Sifa zote njema sifa za kukamilika zote Ni zake Allah.

Mwenye kusifika Na sifa njema... Mwenye sifa njema katika dhati yake, Na majiNa yake, Na sifa zake, Na vitendo vyake, aNa majiNa Yale mazuri mazuri Na sifa zile zilizokamilika, Na vitendo vilivyo vyema Na vilivyokamilika, kWasababu vitendo vyake allah vyote viNazunguka baiNa ya ubora Na uadilifu.

Sifa njema zote Ni zako peke yako Kwa kututeremshia kitabu chako Na ukatufahamisha utukufu Wako Na ukatutumia Mtume Wako Muhammad (s.a.w)

Hakika Allah Ni Mwenye sifa njema…