MISINGI NA TANBIHI ZA KUZIFAHAMU SIFA ZAKE ALLAH NA MAJINA YAKE

MISINGI NA TANBIHI ZA KUZIFAHAMU SIFA ZAKE ALLAH NA MAJINA YAKE

MISINGI NA TANBIHI ZA KUZIFAHAMU SIFA ZAKE ALLAH NA MAJINA YAKE

{HakuNa chochote mfano Wake; Naye Ni Mwenye kusikia, Mwenye kuoNa} (Ash-shuura: 11)

1-hakika majiNa ya Allah yote Ni mazuri. Amesema Allah Mtukufu: {Na Mwenyezi Mungu aNa majiNa mazuri mazuri} [An araf: 180]

Tumemtambua Allah Kwa dhati yake iliyo juu Ili tupate kumuabudu Na kumtii Na tumpende Na kumkhofu Na tumtarajie.

2-kuthibiti majiNa yake kwenye chimbuko mbili kuu za kisheria ambazo Ni QuraNi Na SuNa za Mtume (s.a.w) bila ya chimbuko lengine la tatu, majiNa yaAllah hayathibiti Kwa chimbuko lengine ILA haya mawili pekee, kWahiyo tuNathibitisha Yale aliyoyathibitisha Allah Na Mtume Wake (s.a.w) Na tuNakanusha Yale aliyoyakanusha Allah Mwenyewe, Na Mtume Wake (s.a.w) Na tuNathibitisha ukamilifu Wake,

Na majiNa ambayo hayaNa uthibitisho wowote Wala ukanushi wowote ndaNi ya QuraNi au SuNa haifai kuthibitisha Wala kuyakanusha Bali Nikunyamaza, Na kufanya (taWaquf) ama maaNa yake yaNabaiNishWa: Kama maaNa yake yalingaNa Na dhati yake Allah basi yatakuWa yakubalika, ama Kama maaNa yake hayalingaNi Na dhati Na utukufu Wake Allah yatakikaNa kupingWa Na kukanushWa.

3-maneno yoyote katika kuzungumza kuhusu sifa zake Allah Na majiNa yake Ni kama kuongea kuhusu dhati yake Allah Mwenye nguvu Na utukufu, kama vile sisi hatuijui dhati yake tukufu ilivyo, basi hivyo hivyo hatujui sifa zake njema zikoje, lakiNi tuNaziamiNi Na kusalimu amri kWa kuamiNi imaNi ya kweli isiokuWa Na shaka, bila kubadilisha Wala kubatilisha, Wala kufaNaNisha, Wala kuzieka saWa Na sifa za viumbe Wake.

4-MajiNa yake Allah Na sifa zake ziko Na maaNa ya kihakika, bila majazi Wala kiNaya, Nayo yaNaonesha dhati yake Allah Na sifa zake zilizo kamilika zenye kuendelea kuWa,

Mfano : Mwenye uwezo, (Alqaadir) Mwenye elimu ,Mwenye hekima, MwenyekuoNa , Mwenye kusikia , haya majiNa yaNajulisha dhati yake Allah Na kuWa iNasifika Na sifa hizi kutokaNa Na uwezo Wake Na elimu yake Na hekima zake Na kuoNa kWake Na kusia kWake , (kWahio Ni dhati yenye sifa nyingi)

5-Hakika kumtakasa Allah Na pungufu Na bila kubatilisha, Na kukanusha pungufu zote Kwa Allah, Na kuthibitisha ukamilifu Kwa maelezo ya kiNa katika kila sifa Na aiNa yake, Kama alivyo sema Allah Mtukufu: {HakuNa chochote mfano Wake; Naye Ni Mwenye kusikia, Mwenye kuoNa} [Ash-shuura: 11]

6-kuamiNi majiNa ya Allah, Kama vile kuamiNi jiNa yakulazimu kuamiNi jiNa Na sifa yake iNayo libeba, Kama vile yakulazimu kuamiNi athari ziNazo ambataNa Na kila jiNa.

KWamfano jiNa lake Allah la “AR RAHMANI” lajulisha kuWa lazima Allah yuko Na sifa yarehema, aNaWarehemu Waja Wake kupitia rehema zake Allah Mtukufu.

Hapa kuNa tanbihi muhimu ziNazosaidia kuyafahamu majiNa Na sifa za Allah, Nazo Ni:

1-kamba majiNa ya Allah hayajakusanyWa yote kWa idadi, kama ilivyo kuja katika hadiith, ‘‘Nakuomba kWa kila jiNa lililo lako ulilojiitia mwenyewe Nafsi yako ama ulilomfundisha mja Wako yoyote au uliloliteremsha kwenye kitabu chako ama ulilolisitiri ukalijua mwenyewe tu ’’ (ImepokeWa Na Ahmed)

2-yamo majiNa ya Allah ambayo Niyake pekee hakuNa aNayemshiriki katika majiNa hayo, Na haifai kutumiWa Na yoyote katika viumbe, Mfano: Allah, Ar rahman, Na yako mengine yawezekaNa kuitWa asiyekuWa Allah ijapokuWa majiNa haya Kwa Allah yamekamilika Na sifa zake zimetimia.

3-kuNa sifa katika majiNa yake Allah, kWahio katika kila jiNa kuNa sifa, ama sifa hazinyambuliwi Na kuunda jiNa la Allah (yawezikaNa sifa kuchukuliWa katika jiNa lakiNi jiNa la Allah haliundwi kutokaNa Na sifa yake) mfano: tuseme Allah aNakasirika hatuwezi kuunda jiNa tukitumia sifa hii Na kusema Mwenye kukasirika. Atakasike Allah Na upungufu wote.Tags: