Kunapojifita kumuamini Allah

Kunapojifita kumuamini Allah

KuNapojifita kumuamiNi Allah

Kuamini Allah Ni Mwanzo WA Mabadiliko Kwenye Maisha Ya Ubiniadamu Kutoka Kwenye Utumwa Mbalimbali Kwenda Kwenye Kumuabudu Mwenye Kustahiki Kuabudiwa Mwenyeezzi Mungu Mtukufu Mshindi

Asema, Filip Naytka, Mlinganizi WA Kifo Cha Huruma Huko Astralia. “Kifaa Cha Kujinyonga Kinacho Julikana Kwa Jina La (Mkoba Wakutoka) Ambacho Kinauzwa Sana Kwenye Miji Mbalimbali.”

Ambacho Thamani Yake Yakaribia Dola 30 Za Marekani Na Huja Na Kikoba Maalum Kilichotengezwa Kutokana Na Plastiki Ili Itoe Uhai Wa Mtu Kwa Njia Ya Kujinyonga.

Akaeka Wazi Fillip Katika Redio Moja Mjini Astralia Kwamba Hiko Kifaa Kinaonekana Ni Cha Huzni Kwa Kiyasi Fulani, Lakini Kina Nguvu Katika Kutoa Roho.

Akaongezea Kuwa Chombo Chenyewe Kinatumika Sana, Kwamba Wengi Wanzungumza Naye Kuhusu Chombo Chenyewe Na Sifa Zake Na Mambo Yenye Kufungmana Nacho.

Na Kwengine Kuna Mwanamke WA Kiingereza Alie Ugua Maradhi Ya Mishipa Ambayo Humkosesha Mwanaadamu Uwezo Wakutembea Akapeleka Kesi Kwenye Mahakama Kuu Ya Landan Akitaka Apewe Ruhusa Mumewe Kumsaidia Kuyakomesha Maisha Yake.

Ilieleza Redio Moja Ya Landan Kuwa Dayana Birete Ambaye Umri Wake Ni Miaka 42 Alipatikana Na Maradhi Hayahaya Kabla Ya Miaka Miwili, Ikaonyesha Redio Kwamba Aliamua Kwenda Mahkamani Sirikali Ilipokataa Kutoa Dhamana Ya Kutomuandama Mumewe Akimsaidia Kuyakomesha Maisha Yake Asema Allwah (S.W); {Na Yoyote Mwneye Kuupa Mgongo Mwito Wangu Basi Atakuwa Na Maisha Ya Dhiki.}(Surat Taha. Aya Ya 124)Tags: