Semina ya mtambue allah na kumamini

Semina ya mtambue allah na kumamini

Mtume amesema (Ikiwa Mwenyezi Mungu anataka kumfanyia mtu mema, humfanya afahamu dini hiyo)
Kujua Semina ya mtambue allah na kumamini:
Waweza kuishiriki bure katika semina hii.
Muda wa semina: semina itaanza kwa njia rasimu Tar. 24 januari kwa 2 februari kwa muda wa siku 10 zimegawika kwa masomo 10 na mtihani itakuwa siku 3 februari
Utaratibu wa Kujiunga na Semina
Kujisajili kimtandao kwenye Link  

 Telegram   Telegram - Apps on Google Play

Kufaidika na mada za Semina na kujifunza
Kujibu maswali ya mtihani kwa njia ya kimtandao
Kupokea Shahada inayo kubalika ya kufuzu semina inayo tolewa na tovuti Mola wangu ni Allah na space chanels
Mada za Semina: Makala kumi
Mada za Semina: mtambue allah na kumamini ina kusanya yafuatayo